Menu Links
INJILI KWA WATOTO / Evangelism for children


What does Jesus tell us about children?

Mathew 19:14-15 But Jesus said, "Let the little children come to me, and do not hinder them;for to such belongs the kingdom of heaven." And he laid his hands on them and went away.

Ephesians 6:1-3 Children,obey your parents in the Lord, for this is right."Honour your father and mother" (this is the first commandment with the promise), "that it may be well with you and that you may live long on the earth."

Matayo 19:14-15 14 Yesu akasema, "Waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie; maana Ufalme wa mbinguni ni wa watu walio kama watoto hawa." 15 Basi, akawawekea mikono, kisha akaondoka mahali hapo.

Waefeso 6:1-3 Watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, kwa maana kufanya hivyo ni vizuri. 2 “Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi, 3 “upate baraka na uishi siku nyingi duniani.”


                       
       


Useful LinksNGA Copyright © 2011 Naioth Gospel Assembly: Designed & Developed by: MEDIA DEPARTMENT - Naioth. : +255 754 745031
Naioth Church Media Department © 2011-2017: +255 773 554153